{"id":19479,"date":"2026-08-31T18:00:00","date_gmt":"2026-08-31T17:00:00","guid":{"rendered":"https:\/\/godsheart.tv\/sw\/?p=19479"},"modified":"2026-08-26T17:48:13","modified_gmt":"2026-08-26T16:48:13","slug":"nilijifungua-mtoto-msichana-mwenye-afya-njema","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/godsheart.tv\/sw\/blog\/2026\/08\/31\/nilijifungua-mtoto-msichana-mwenye-afya-njema\/","title":{"rendered":"NILIJIFUNGUA MTOTO MSICHANA MWENYE AFYA NJEMA!"},"content":{"rendered":"\n<p class=\"wp-block-paragraph\">\u201cJina langu ni Tshepang kutoka Afrika Kusini. Nataka nimuimbie sifa Bwana kwa mwongozo na ulinzi wake siku zote za ujauzito wangu hadi siku nilipojifungua. Kama si maombi niliyopokea kutoka God\u2019s Heart TV, sidhani kama ningekuwa hapa na mtoto wangu. Mungu amenitendea na milele nitashukuru kwa zawadi ya ajabu niliyoipokea. Huu ndio ushuhuda wangu! Jumatatu, 22 Disemba 2025, nilikuwa niende kuona ginekolojia. Sikurudi nyumbani siku hiyo kwa sababu daktari alisema ya kwamba anataka nilazwe wanifanyie operesheni ya kuharakisha uzazi. Ilipokaribia 23:00, nilienda hospitalini nikalazwa usiku huo. Saa 01:00, walianza operesheni ya kuharakisha uzazi, lakini haikufanya kazi. Wakarudia tena utaratibu huo saa 05:00. Ilipokaribia saa 08:00, walikuja kunitazama, lakini hakukuwa na maendeleo. Hata hivyo, uchungu ukaanza bila kukoma saa 06:00 na sikuwezaa kustahimili. Baba yangu akawasiliana na God\u2019s Heart TV, na wakaomba na kunitumia neno la kutia moyo lilokuwa na Maandiko, ambayo yalinifkishia. Katikati ya uchungu, nilisoma kila kitu na nikaomba sana.<\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">\u201cKwa neema ya Mungu, nilijifungua tarehe 23 Disemba 2025 saa 17:10 msichana, mwenye afya njema. Tulitoka hospitali tarehe 25 Disemba, na tukafika nyumbani na kumshukuru Bwana. Lakini, kwa siku mbili zilizofuata, nilishindwa kutembea na hata kupanda kitandani. Wakati wa maombi ya 2026 katika ibada iliyokuwa tarehe 27 Disemba, nilikuwa namsikiliza Brother Chris. Wakati huo, sikuwa naweza hata kutembea na ilibidi nishikilie ukuta ama vitu ndio niweze kusonga. Nilikuwa nimefura sana. Wakati wa maombi, niliomba Mungu aniponye. Nilimlilia na nikamkumbusha ahadi Zake. Ushuhuda wangu ni baada ya dakika chache, niliponywa kabisa. Sasa hivi naweza kutembea na kuinua miguu yangu na haivimbi tena. Asante, Ndugu Chris, kwa kutufundisha kila wakati na kutukumbusha Neno la Mungu.\u201d<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>\u201cJina langu ni Tshepang kutoka Afrika Kusini. Nataka nimuimbie sifa Bwana kwa mwongozo na ulinzi wake siku zote za ujauzito wangu hadi siku nilipojifungua. Kama si maombi niliyopokea kutoka God\u2019s Heart TV, sidhani kama ningekuwa hapa na mtoto wangu. Mungu amenitendea na milele nitashukuru kwa zawadi ya ajabu niliyoipokea. Huu [&hellip;]<\/p>\n","protected":false},"author":4,"featured_media":19480,"comment_status":"closed","ping_status":"closed","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"content-type":"","footnotes":""},"categories":[57],"tags":[],"class_list":["post-19479","post","type-post","status-publish","format-standard","has-post-thumbnail","hentry","category-testimonies"],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/godsheart.tv\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/19479","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/godsheart.tv\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/godsheart.tv\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/godsheart.tv\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/users\/4"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/godsheart.tv\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=19479"}],"version-history":[{"count":1,"href":"https:\/\/godsheart.tv\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/19479\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":19481,"href":"https:\/\/godsheart.tv\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/19479\/revisions\/19481"}],"wp:featuredmedia":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/godsheart.tv\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/media\/19480"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/godsheart.tv\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=19479"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/godsheart.tv\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=19479"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/godsheart.tv\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=19479"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}