{"id":19556,"date":"2026-10-02T19:31:41","date_gmt":"2026-10-02T18:31:41","guid":{"rendered":"https:\/\/godsheart.tv\/sw\/?p=19556"},"modified":"2026-10-02T19:31:41","modified_gmt":"2026-10-02T18:31:41","slug":"siwezi-kuelewa-bado-ilivyofanyika","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/godsheart.tv\/sw\/blog\/2026\/10\/02\/siwezi-kuelewa-bado-ilivyofanyika\/","title":{"rendered":"SIWEZI KUELEWA BADO ILIVYOFANYIKA!"},"content":{"rendered":"\n<p class=\"wp-block-paragraph\">\u201cNawasalimu katika jina la Yesu! Jina langu ni Asante kutoka Malawi, nataka kushuhudia wema wa Mungu na alichonifanyia. Kwa neema ya Mungu, Nilialikwa katika maombi ya ushirika mwaka wa 2025 karibu na 2026, ambapo tuliambiwa tuandike tunachotaka Mungu atufanyie mwaka ujao, 2026. Baadhi ya maombi yangu, niliandika kuwa nilitaka Mungu anisaidie katika kazi yangu na anipe ajira njema kuliko niliyo nayo na njia zifunguke. Mwaka huu ulipoanza, kulikuwa na nafasi kadhaa katika kazi yangu na niliwasilisha hati zangu katika nyadhifa nilizotaka. Kisha Februari, nilialikwa katika mahojiano tarehe 11, Jumatano. Nilipohudhuria mahojiano hayo- watu wa Mungu, sijui kilichofanyika kwa kuwa nilidhani kuwa nimefeli nilipoona matendo ya wahoji wale. Walituelezea kuwa kati ya watu elfu mbili waliotamani wadhifa ule, watu kumi pekee ndio walioalikwa katika mahojiano. Nilikuwa nikijilaumu kwa jinsi nilivyofanya katika mahojiano yale. Lakini, watu wa Mungu, mnamo tarehe 13 Februari, nilipokea simu ya dharura iliyonifahamisha kuwa nilipata kazi ile baada ya kupita mahojiano. Bado siamini kilichofanyika. Aje? Hili linawezekana kwa Mungu tu! Asante, Yesu Kristo! Tusiwache kumtumainia na kumwamini Mungu na kuwa waaminifu kwa kile alichotupa kwa sababu yaliyo bora zaidi bado yaja!\u201d<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>\u201cNawasalimu katika jina la Yesu! Jina langu ni Asante kutoka Malawi, nataka kushuhudia wema wa Mungu na alichonifanyia. Kwa neema ya Mungu, Nilialikwa katika maombi ya ushirika mwaka wa 2025 karibu na 2026, ambapo tuliambiwa tuandike tunachotaka Mungu atufanyie mwaka ujao, 2026. Baadhi ya maombi yangu, niliandika kuwa nilitaka Mungu [&hellip;]<\/p>\n","protected":false},"author":1,"featured_media":19557,"comment_status":"closed","ping_status":"closed","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"content-type":"","footnotes":""},"categories":[57],"tags":[],"class_list":["post-19556","post","type-post","status-publish","format-standard","has-post-thumbnail","hentry","category-testimonies"],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/godsheart.tv\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/19556","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/godsheart.tv\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/godsheart.tv\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/godsheart.tv\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/users\/1"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/godsheart.tv\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=19556"}],"version-history":[{"count":1,"href":"https:\/\/godsheart.tv\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/19556\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":19558,"href":"https:\/\/godsheart.tv\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/19556\/revisions\/19558"}],"wp:featuredmedia":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/godsheart.tv\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/media\/19557"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/godsheart.tv\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=19556"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/godsheart.tv\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=19556"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/godsheart.tv\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=19556"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}