{"id":19583,"date":"2026-10-16T11:23:35","date_gmt":"2026-10-16T10:23:35","guid":{"rendered":"https:\/\/godsheart.tv\/sw\/?p=19583"},"modified":"2026-10-24T11:23:55","modified_gmt":"2026-10-24T10:23:55","slug":"kile-ambacho-matabibu-walishindwa-kutibu-mungu-aliponya-kabisa","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/godsheart.tv\/sw\/blog\/2026\/10\/16\/kile-ambacho-matabibu-walishindwa-kutibu-mungu-aliponya-kabisa\/","title":{"rendered":"KILE AMBACHO MATABIBU WALISHINDWA KUTIBU, MUNGU ALIPONYA KABISA!"},"content":{"rendered":"\n<p class=\"wp-block-paragraph\">\u201cNawasalimu nyote katika God\u2019s Heart TV na ikiwemo Ndugu Chris katika jina la Yesu. Jina langu ni Tina kutoka UAE. Nataka kutoa ushuhuda ili nimpe Mungu utukufu kwa uaminifu wake maishani mwangu. Baada ya kuhudhuria Maombi Shirikishi kupitia God\u2019s Heart TV kwa kupokea mwaliko mwaka uliopita, nilipandishwa cheo kazini na pia nikapata nafasi mpya kazini. Kwa wakati huo, nilikuwa nikifanya kazi katika mazingira mabaya na nilikuwa na msongo wa mawazo kila siku. Nilikuwa nimechoka kiakilini na pia kimwili, kwa hivyo nafasi hii ilipokuja nilihisi kweli Mungu amejibu maombi yangu na nikawa na furaha na shukrani. Hata hivyo katika wakati huo, afya yangu ilianza kudidimia kabisa. Nilifanyiwa upusuaji wa tezi ya shingo na baadaye afya yangu ikawa mbaya sana. Nililazwa katika sadaruki mara mbili na pia nilikaa hospitalini kwa muda mkubwa \u2013 mara nyingine siku kumi, ama hata wiki baaada ya nyingine. Hiki kilikuwa kipindi cha ugumu na kutatanisha katika Maisha yangu. Lakini licha ya hayo mimi na mamangu tuliendelea kuomba, tukijiunganisha na Mungu tukiwa imara katika ahadi Zake. Nilishikilia Imani nikitumaini kuwa nimeponywa katika jina la Yesu. Kwa kweli Mungu alijidhihirisha kuwa mwaminifu. Kwa muujiza, afya yangu ilianza kuimarika na ikarejeshwa. Kwa muda mrefu, viwango vyangu vya Kalsiamu vilikuwa vidogo hasaa vilionekana kuwa kiwango cha 6. Lakini kwa neema ya Mungu, baada ya Kuenda kwa daktari hivi karibuni nilipimwa na ikabainika kuwa vimerejea katika kiwango cha 9.3. Namshukuru Yesu! Kile ambacho madaktari hawakukitibu, Mungu ameponya kabisa. Nashukuru God\u2019s Heart TV kwa maombi, mwongozo na kazi yenu. Mungu aendelee kuitumia huduma hii kutupa Imani, uponyaji na matumaini duniani mzima. Utukufu wote nampa Yesu Kristo.\u201d<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>\u201cNawasalimu nyote katika God\u2019s Heart TV na ikiwemo Ndugu Chris katika jina la Yesu. Jina langu ni Tina kutoka UAE. Nataka kutoa ushuhuda ili nimpe Mungu utukufu kwa uaminifu wake maishani mwangu. Baada ya kuhudhuria Maombi Shirikishi kupitia God\u2019s Heart TV kwa kupokea mwaliko mwaka uliopita, nilipandishwa cheo kazini na [&hellip;]<\/p>\n","protected":false},"author":4,"featured_media":19584,"comment_status":"closed","ping_status":"closed","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"content-type":"","footnotes":""},"categories":[57],"tags":[],"class_list":["post-19583","post","type-post","status-publish","format-standard","has-post-thumbnail","hentry","category-testimonies"],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/godsheart.tv\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/19583","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/godsheart.tv\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/godsheart.tv\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/godsheart.tv\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/users\/4"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/godsheart.tv\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=19583"}],"version-history":[{"count":1,"href":"https:\/\/godsheart.tv\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/19583\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":19585,"href":"https:\/\/godsheart.tv\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/19583\/revisions\/19585"}],"wp:featuredmedia":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/godsheart.tv\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/media\/19584"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/godsheart.tv\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=19583"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/godsheart.tv\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=19583"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/godsheart.tv\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=19583"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}