{"id":19637,"date":"2026-11-06T16:57:32","date_gmt":"2026-11-06T16:57:32","guid":{"rendered":"https:\/\/godsheart.tv\/sw\/?p=19637"},"modified":"2026-11-06T16:57:33","modified_gmt":"2026-11-06T16:57:33","slug":"mtafsiri-wa-kiswahili-wa-gods-heart-tv-apokea-muujiza-wa-mwana-wake","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/godsheart.tv\/sw\/blog\/2026\/11\/06\/mtafsiri-wa-kiswahili-wa-gods-heart-tv-apokea-muujiza-wa-mwana-wake\/","title":{"rendered":"MTAFSIRI WA KISWAHILI WA GOD\u2019S HEART TV APOKEA MUUJIZA WA MWANA WAKE!"},"content":{"rendered":"\n<p class=\"wp-block-paragraph\">\u201cHujambo, jina langu ni Babu kutoka Kenya. Mimi ni mtafsiri wa kujitolea wa God\u2019s Heart TV. Nilijisemea siku moja kuwa nitakuwa miongoni mwa wale watakao shuhudia wema wa Mungu na kwa hakika Mungu ni mwaminifu, leo nina ushuhuda kwa yale Mungu amenitendea! Mechi mwaka uliopita, mimi na bibi yangu tulipoteza ujauzito, kwa kimombo madktari waliuita \u201cblighted ovum\u201d. Nilijawa na huzuni sana kwa kuwa tulingoja kwa muda mrefu kupata ujauzito na tulitumaini kuanzisha familia yetu. Licha ya hayo, kupoteza ujauzito huu kulibadilisha Maisha yangu, hata ya kiroho kwa kuwa kulinisababisha kutamani kumjua Mungu zaidi. Kabla ya hili Imani yangu haikuwa dhabiti kwa kuwa ilikuwa na nguzo uliyoegemea katika hali na hisia zangu.<\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">\u201cKatika kipindi kile na Pamoja ya kuwa mhumbiri katika kanisa letu, nilitamani nimjue Mungu na niwe karibu naye. Nilituma ombi la maombi kwa God\u2019s Heart TV na timu yao iliwasiliana nami kwa dharura na tukaalikwa katika maombi ya ushirika mnamo Aprili 5,2025. Tulipokuwa tukijiandaa, bali na video walizotushauri tuzitazame nilizitazama shuhuda nyingine za God\u2019s Heart TV katika mtandao wa Youtube. Hapa ndipo nilipokumbana na shuhuda moja ya binti aliyeitwa Mulenga kutoka Zambia. Video hii inaitwa\u2018Miracle Baby\u2019, na hatimaye alijifungua mwana baaada ya kupoteza ujauzito mara mbili. Nakumbuka niliitazama pekee yangu nikiwa sebuleni; bibi yangu alikuwa akiosha vyombo jikoni na alipoiona, alijiunga nami tukaitazama Pamoja na ilitufariji.<\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">\u201cSiku iliyofuata bibi yangu alinielezea kwamba alikuwa na ndoto ambayo alimwona Ndugu Chris ametutembelea katika eneo letu la Kawangware na alipokutana naye alimwambia \u2018asiwe na wasiwasi kwa kuwa, mwana wetu alikuwa amesinzia; atarejea\u2019. Niliyadhamini maneno yale kwa kuwa nilijua yalinenwa na Yesu Kristo kwetu; na wala hana hila au uongo. Hili lilinisababisha kumtendea Mungu Zaidi baada ya kujiunga na maombi ya Ushirika, nilijitolea kuwa mtafsiri wa Kiswahili kwa kuwa nilitamani injili hii iwafikie watu wengi duniani.<\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">\u201cMojawapo ya video nilizotafsiri ni ya Ndugu Chris akitupa ujumbe kuhusu mwana wake Josiah,nakumbuka niliitafsiri kwa umakini nikiomba, nikijitia imani kwamba pia mimi nitapokea mwana kutoka kwa Mungu nitakayemlea bali si kumweka. Juni, tulipata ujauzito na tulijawa na furaha. Lakini manmo Agosti 11,2025 bibi yangu alianza kutokwa na damu tena. Licha ya hayo sikulia wala kufedheheka. Nilikumbuka mwana wangu alikuwa amesinzia na atarejea. Bibi yangu alitokwa damu asubuhi na jioni kwa miezi miwili na jioni moja maji yake ya uzazi yalimwagika kwa masaa manne mfuatio. Nilijawa na huzuni lakini sauti ile ilinijia: \u2018Mwana wako amesinzia; atarejea.\u2019 Baada ya kutokwa damu kule kusitishwa na maji ya uzazi kumwagika, tuliamini tumepoteza ujauzito ule kwa mara ya pili lakini sikumswali Mungu; nilimshukuru kwa kila jambo nikiamini bado tumo katika mipango yake.<\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">\u201cWiki mbili baadaye, tulipokuwa tukiomba kanisani \u2013 mimi na bibi yangu pekee- tulipomaliza kuomba na tukaketi alihisi pigo tumboni mwake. Majonzi yalinijaa machoni mwangu na nilikuwa na furaha na nilichanganyikiwa moyoni. Nilipiga magoti na kumshukuru Mungu sana. Nilimuuliza tena na tena, \u2018Je una hakika umehisi pigo tumboni mwako?\u2019 naye alijibu, \u2018Nimehisi kitu ndani ya tumbu langu.\u2019 Jumapili hiyo, nilikuwa nahumbiri na bibi yangu akaniambia kwamba alihisi mwana amepiga pigo kali nilipoisalimu kanisa na kwa sasa,bibi yangu hakuwa na shauku. Baada ya mahumbiri alinijia na kunisemeza, \u2018Mwana wetu yuko hai tumboni mwangu.\u2019<\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">\u201cNilijawa na hisia nyingi. Tuliiweka siri na tukaendelea na Maisha yetu tukimshukuru Mungu. Katika wiki ya 28, bibi yangu alipigwa altrasaundi. Mpiga saundi ile alikuwa kimya kwa muda mrefu na tukawa na wasiwasi. Mpiga saundi ule ndiye aliyetufahamisha awali kuhusu kupoteza ujauzito wetu na baada ya dakika kumi alituonyesha pigo la moyo wa mwana wetu. Tulikuwa na furaha tele.<\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">\u201cKatika wiki ya 36, bibi yangu alipatwa na maumivu ya uzazi na baada ya kukaguliwa ilidhibitishwa kwamba mwana wetu hajakomaa lakini pia placenta yake ilikuwa kama ya aliye wiki 39. Kuchanganyikiwa kule kuliendelea katika hospitali. Alipatwa na maumivu ya uzazi kwa masaa 30 na nikaanza kujawa na wasiwasi. Nakumbuka saa nane za usiku nikimwomba Mungu amkomboe bibi yangu na mwana wangu.\u2019 Baada ya maombi yale nilielekea kwa Twitter ili nipate kugeuza mafikira yangu na wakati ule nilipata mtu aliyetuma ujumbe wa Marko 9:23 ulivyonena hivi, ikiwa unaamaini yote yanawezekana na Mungu.&#8217;<\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">\u201cNilicheka ndani yangu kwa kuwa nilibaini huu ni uwepo wa Mungu. Baada ya saa 32 daktari alishauri afanyiwe upasuaji na hata kama sikuwa na fedha za kugharamia upasuaji huo nilikubaliana nao. Upasuaji ule ulianza 3:29 usiku Jumamosi,Feruari 7, 2026, na mwana wetu, Tetelestai Yohana Biko, alizaliwa 3:48 usiku. Kwa neema ya Mungu watu wengi walinitumia pesa nyingi ikiwemo tuliyekondisha nyumba zake; hili lilitusaidia kugharamia mswaada wa hospitali na baadaye bima ikagharamia kilichobaki. Kwa wale wasiojua, Tetelestai ni jina la kigiriki linalomaanisha \u2018Yamekamilika\u2019; kwa kuwa haya yalikuwa maneno yenye mizani yaliyonenwa na bwana wetu Yesu Kristo yakiashiria kukamilika kwa kazi yake ili wenye dhambi kama mimi wapate kukombolewa. Yohana ni jina la Kiswahili, tulimpa jina la Yohanna yule mbatizaji. Na jina Biko ni jina langu la ukoo. Utukufu na heshima nampa Yesu Kristo na natumai kuwa anayesoma ujumbe huu atapata faraja kwa kuwa Yesu Kristo hakuwacha kutenda miujiza miongoni mwetu. Asante Yesu Kristo na asante Mungu. Neema na amani iwe nanyi nyote.\u201d<\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\"><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>\u201cHujambo, jina langu ni Babu kutoka Kenya. Mimi ni mtafsiri wa kujitolea wa God\u2019s Heart TV. Nilijisemea siku moja kuwa nitakuwa miongoni mwa wale watakao shuhudia wema wa Mungu na kwa hakika Mungu ni mwaminifu, leo nina ushuhuda kwa yale Mungu amenitendea! Mechi mwaka uliopita, mimi na bibi yangu tulipoteza [&hellip;]<\/p>\n","protected":false},"author":4,"featured_media":19638,"comment_status":"closed","ping_status":"closed","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"content-type":"","footnotes":""},"categories":[57],"tags":[],"class_list":["post-19637","post","type-post","status-publish","format-standard","has-post-thumbnail","hentry","category-testimonies"],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/godsheart.tv\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/19637","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/godsheart.tv\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/godsheart.tv\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/godsheart.tv\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/users\/4"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/godsheart.tv\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=19637"}],"version-history":[{"count":1,"href":"https:\/\/godsheart.tv\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/19637\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":19639,"href":"https:\/\/godsheart.tv\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/19637\/revisions\/19639"}],"wp:featuredmedia":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/godsheart.tv\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/media\/19638"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/godsheart.tv\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=19637"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/godsheart.tv\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=19637"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/godsheart.tv\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=19637"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}