Huduma za Moja kwa Moja Mtandaoni

Nguvu ya Mungu ya kuponya, kukomboa,kurejesha na kuokoa HAIJA badilika ! Jiandae kujiunga na maelfu ya waamini Duniani kote kwaajili ya wakati wenye nguvu wa maombi, na kusikiliza shuhuda zenye kujenga Imani na kupokea kweli zinazobadilisha maisha kutoka kwenye neno la Mungu lililo hai unapojiunga na huduma mubashara za kila mwezi mtandaoni na ndugu Chriss,Matangazo kutoka God Heart TV huko Kaskazini mwa Wales”. Jumamosi ya kwanza ya Kila mwezi saa nane mchana kwa saa za Uingereza.

Unaweza kujiunga kupitia YouTube hapa au unaweza kutuma maombi ya kushiriki katika Maombi Shirikishi kwenye Zoom hapa.

Watch previous Online Live Services