God's Heart TV - Swahili
Tafuta Moyo Wa Mungu Ili Uyaone Maisha Kwa Udhahiri!
KUJITOLEA
-
"Hisia zangu sio nahodha wa moyo wangu."
-
"Acha kuuchochea moto unaomuomba Mungu auzime."
-
"Tunza mahali pa Siri pawe mahali patakatifu."
-
"Usiruhusu dhoruba zinazokuzunguka ziwe dhoruba ndani yako."
-
"Unapodai upo sahihi, tayari unakosea."
-
"Mungu hawezi kufanya njia kwaajili yako itakayokupeleka wewe mbali na Yeye."
-
"Ruhusu mahitaji yako yakulete magotini mbele za Mungu."
-
"Udhaifu wako ni sababu ya kuikimbia dhambi, na sio kiteteo cha kufanya mzaha na dhambi."
-
"Maumivu ya mchakato ni ya lazima kwaajili ya thamani ya maendeleo yako."
-
"Wale wanaoshinda vikwazo hawana muda wa hilo."