“Ipo nguvu katika maombi ya makubaliano”
Unamtafuta Mungu kwaajili ya kitu gani? Kumbuka, Yeye ambaye aliufanya moyo wako anaujua moyo wako.Yeye ambaye anaimiliki nafsi yako anaiona halinyako.Hakuna kitu kilichofichwa mbele zake (Waebrania4:13).Ungana na Ndugu Chris katika maombi mafupi yaliyorekodiwa unapoweka hali yako mikononi mwa Mungu; naye ataweka amani yake mioyoni mwenu!

Please add a few Portfolio Posts first here.