Jitolee Kutafsiri

Dhamira ya God’s Heart TV ni kuhubiri Injili ya Yesu Kristo ulimwenguni kote. Kwa hivyo ni muhimu kwa maudhui yetu kutafsiriwa katika lugha nyingi iwezekanavyo! Kwa sasa tuna idhaa katika Kihispania, Kirusi, Kijerumani na Kifaransa. Ikiwa Mungu ameweka moyoni mwako nia ya kujitolea kwa muda na ujuzi wako kama mfasiri kwenye God’s Heart TV – tafadhali wasilisha maelezo yako katika fomu iliyo hapa chini.

Watafsiri wote wa hiari lazima:
• Waweze kuongea na kuandika kwa ufasaha katika lugha nyingine mbali na Kiingereza
• Wawe wanamiliki kompyuta mpakato au kompyuta ya mezani (sio simu janja pekee) yenye upatikanaji wa mtandao.