Shirikisha Ushuhuda Wako

Luka 8:39 – “Rudi nyumbani na ueleze ni mambo gani Mungu amekutendea.” Kwa hiyo mtu huyo akaenda na kusimulia mjini kote ni mambo gani Yesu aliyomtendea.

Kushirikisha ushuhuda wako ni fursa ya kukiri hadharani wema wa Mungu katika maisha yako – na pia kuwatia moyo wengine kutafuta msaada kutoka Kwake! Ikiwa una ushuhuda wa kushirikisha kupitia huduma ya Televisheni ya Moyo wa Mungu (God’s Heart TV), tungependa kusikia kutoka kwako.

Tafadhali tushirikishe ushuhuda wako kwa kutumia fomu hapo chini.
,unaweza ukarekodi video fupi ya ushuhuda wako na itume kwetu kupitia WhatsApp au telegram kwenye namba ifuatayo + 44 7517 420524.

Tunakutia moyo wewe usome hii miongozo ya shuhuda kabla ya kututumia ushuhuda wako.